Dupy amuunga mkono S2kizzy kwenye hili
Mtayarishaji wa Muziki Dupy Beatz amemuunga mkono producer mwenzie S2kizzy kwa kusema kuwa yeye ni producer ambaye amefanya makubwa kwenye muziki wa Afrika Mashariki kuliko producers wote waliyohai na waliyofariki