Klabu za Afrika zote zaondoshwa makundi CWC Baada ya klabu ya Mamelodi Sundowns FC kutoa sare hapo jana dhidi ya klabu ya Fluminense kutoka Brazil, imewafanya kuwa moja ya timu kutoka Africa kutolewa katika michuano hii. Read more about Klabu za Afrika zote zaondoshwa makundi CWC