Tanzania yatoa msimamo wa Afrika Mkutano wa COP30 Sambamba na hatua hiyo, ameeleza juhudi za Tanzania katika kujenga kuta za bahari ili kulinda jamii za pwani dhidi ya kuingiliwa na maji ya bahari kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Read more about Tanzania yatoa msimamo wa Afrika Mkutano wa COP30