Gambo agawa mitungi ya gesi kwa Walimu arusha.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo kwa kushirikiana na nalozi wa cjina nchini Tanzania Chen Mingjian wamegawa mitungi kwa walimu wa shule za sekondari na msingi kwa jiji la arusha ikiwa ni kutekeleza kwa vitendo kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.