Mama Mzazi wa Diddy avunja ukimya wa mtoto wake Picha ya Diddy na mama yake Mama mzazi wa Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu. Read more about Mama Mzazi wa Diddy avunja ukimya wa mtoto wake