Nikumbukwe kama mtu niliyetengeneza utofauti
Kwenye mahojiano yake mwaka 2018 na CNBC aliulizwa unatamani Dunia imkumbuke Ratan Tata kwa kitu gani, alijibu kwa kusema ''Kwa haraka kabisa, kama nilivyokwisha kusema hapo awali, natamani kukumbukwa kama mtu aliyetengeneza utofauti na si zaidi ya hapo na si chini ya hapo''