Marufuku kujadili afya ya Rais Cameroon

Rais Paul Biya (91) amekuwa madarakani kwa zaidi ya miongo minne

Mamlaka nchini Cameroon zimepiga marufuku vyombo vya habari kujadili afya ya Rais Paul Biya, kufuatia uvumi wa kifo chake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS