Vikundi vya kijamii vyaishukuru TARURA
Vikundi vya kijamii vinavyofanya kazi za ujenzi na matengenezo madogo madogo ya miundombinu ya barabara wilayani Ludewa wameishukuru Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwapatia kazi ambazo zimeweza kuwainua kiuchumi