Upungufu wa Vifaa Tiba,Kikwazo Kwa Huduma ya Afya

Dkt. John Rwegasha(kulia) akiwlwza namna ufunguzi wa maonesho ya vifaa tiba ya Medexpo yatakavyosaidi katika kuhamasisha kupambana na upungufu wa vifaa tiba kwenye vituo vya huduma za afya.

Upungufu wa vifaa vya tiba katika vituo vya kutoa huduma za afya umeelezwa kuwa kikwazo cha utoaji huduma bora ya afya kwa jamii huku wagonjwa wakikosa huduma stahiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS