
Coco Gauff
Ushindi huo alioupata leo ni ushindi wa pili wa Grand Slam kwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 21 Grand Slam nyingine aliyonayo mwanadada huyo ni US Open aliyoshinda 2023 kwa kumshinda Sabalenka mwenye umri wa miaka 27
Kwa upande wa wanaume fainali yao itapigwa kesho ikimkutanisha Jannik Sinner dhidi ya Carlos Alcaraz