
A'ja Wilson
Nyota huyo wa Las Vegas Aces msimu Jana alifanikiwa kupata tuzo ya mchezaji bora wa mashindano na kutengeneza rekodi mchezaji wa kwanza kufunga alama 1000 kwa msimu mmoja
A'ja Wilson amefunga alama 19 na kupora mipira mitatu kwenye mchezo uliopigwa usiku wa kuamkia Leo timu yake iliposhinda vikapu 75-70 dhidi ya Settle Storm ukanda wa Magharibi WNBA