Saturday , 29th Mar , 2025

Tunajua unatumia Google kila siku na hatuwezi kusema hii ni siri kwa sababu wapo ambao wanafahamu kuhusu hili, lakini kama ndiyo kwa mara ya kwanza siyo mbaya.

Google wa #CODE maalumu kwa watumiaji ambao wanatumia mtandao wao kutafuta Movie au Software na #CODE hii inachokurahisishia ni wewe kupata moja kwa moja kile ambacho unakitafuta kwenye mtandao huo

Mfano: unahitaji kupakua CAPCUT utakachokifanya sehemu ya Search kwenye Google utaandika (94FBR CapCut) itakuletea link ya moja kwa moja kupakua software hiyo.

NB: code ni (94FBR alafu ndiyo utaandika unachokitafuta mbele ya code hii)