Friday , 21st Feb , 2025

Kocha wa Manchester United Ruben Amorim amesema kikosi chake kwa sasa kina matatizo mengi kuliko suluhisho 

Ruben Amorim - Kocha wa Manchester United

Mashetani wekundu wameshinda michezo minne pekee kati ya michezo 14 aliyoisiamia Mreno huyo tangu ajiunge na Man United akichukua nafasi ya Ten Hag aliyefutwa kazi kazi kikosini hapo

“Wakati mwingine hauoni mabadiliko yakitokeea kikosini, lakini wakati mwingine unaona mnaweza kucheza na kufanya vizuri kitu ambacho kinahitaji mwendelezo”

Manchester United imetoka  kupoteza 1-0 dhidi ya Tottenham wanashika nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi kesho watashuka tena dimbani ugenini kukabiliana na Everton