Tukio hilo limetokea Jumatatu ya leo Septemba 26 2022.
Akithibiisha kutokea kwa tukio hilo mapema asubuhi ya leo, Kamanda wa polisi wa kaunti ya Kiambu Perminius Kioi , amesema kwamba shughuli za utafutaji manusura zinaendelea .
Ameongeza kuwa watu watatu wameokolewa kwenye tukio hilo na kukimbizwa hosptali kwa ajili ya matibabu.