Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Simba ,Yanga jikaze kimataifa -Waziri Mchengerwa

Monday , 19th Sep , 2022

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezipongeza timu za Simba na Yanga kwa kutinga kwenye michezo ya mtoano hatua ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa

Baada ya kutoa pongezi hizo, Waziri Mchengerwa ameziambia timu hizo zisiridhike na ushindi walioupata na badala yake zijipange kuleta kombe la CAF nchini Tanzania.

''Watanzania na wanachama wa Simba na Yanga  wanafurahi kuona wanafanya vizuri katika mashindano haya ambapo amefafanua kuwa Mhe. Rais pia anaipongeza timu hizo huku  kutoridhika na ushindi walioupata  na badala yake waendelee kufanya mazoezi zaidi ili kujinoa hatimaye timu hizo zingie fainali na kuweza kurejesha kombe nyumbani;; amesema Mchengerwa.

Aidha, Mhe. Mchengerwa amesema kuwa dhamira ya Serikali ni kufanya uwekezaji katika michezo ili kuwasaidia wananchi kueluka na magonjwa hivyo kujenga afya zao.

Klabu za Simba na Yanga zimetinga hatua hiyo baada ya Simba kupata ushindi wa jumla wa mabao 4-0 dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi wakati Yanga SC imepata ushindi wa jumla wa 9-0 dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini.

Simba itacheza dhidi ya Premiero De Agosto ya Angola Ugenini huku Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Mabingwa wa Sudan Al-Hilal Omdurman, zote Oktoba 8, 2022.

 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa