Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mume amuua mke wake aliyefunga naye ndoa Julai

Friday , 12th Aug , 2022

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31) mkazi wa kitongoji cha Maskati kata ya Tegetero Halmashauti ya Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Mariam Vitaris (19) na mtoto wake wa miaka 2 huku chanzo cha mauaji hayo kikidaiwa ni mgogoro wa kifamilia

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa mtuhumiwa alitekeleza mauaji hayo usiku wa Agosti 10 mwaka huu ambapo mara baada ya tukio hilo mtuhumiwa alienda kwa kaka yake Salum Said (34) ambaye anaishi katika kijiji hicho kwa lengo la kumuaga kuwa anasafiri na alipo muhoji juu ya safari hiyo ndipo alipomueleza kuwa amefanya mauaji hayo nyumbani kwake  ndipo kaka yake huyo aliamua kumkamata na kutoa taarifa Polisi

Wakizungumza kwa masikitiko ndugu wa marehemu ambao ni wakazi wa kata ya Chamwino manispaa ya Morogoro wanaeleza kuwa mtoto wao alifunga ndoa na mume wake ambaye ni mtuhumiwa mwezi wa Julai mwaka huu na kuhamia kijijini huko na kwa kipindi chote hawakuwahi kusikia kama kuna mgogoro unaendelea mpaka kupata taarifa ya mauaji hayo
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani