
Kuonekana kwa tembo eneo la Kata ya Bwagamoyo wilayani Kiteto mkoani Manyara, hali iliyoleta taharuki kwa wananchi kutaka kuwaona tembo hao kwa ukaribu, kisha kuondolewa na Jeshi la Polisi kwa mabomu, ambapo wananchi wamebadili changamoto hiyo kuwa fursa
Kwa mujibu wa taarifa za wenyeji wa eneo hilo na ambao wanafahamu historia ya wanyama aina ya tembo na uhumimu wao wanasema kwa kawaida tembo huwa na kumbukumbu ya eneo alilopita miaka 50 iliyopita hivyo kupita kwa tembo hao mjini kibaya waliwahi kupita wakati Kiteto ikizinduliwa mwaka 1974