Wednesday , 6th Jul , 2022

Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine ambao idadi yao bado haijafahamika kurejeruhiwa baada ya Lori la mizigo lililokuwa limesheheni magunia ya mahindi likitokea mkoani Songwe kuelekea jijini Dar es Salaam kufeli breki na kuligonga basi dogo la abiria aina ya Costa

Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Inyala wilayani Mbeya.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi  wa Polisi,Ulrich Matei amethibisha kutokea kwa ajali hiyo.