Mamlaka hiyo inasema bia hiyo itawahamasisha watu kuongeza uelewa kuhusu uhaba wa maji na kutafuta suluhisho mpya la tatizo la maji, huku wataalamu wa afya wakisema bia hiyo ni salama na maji yaliyotumika yamesafishwa
Wataalam nchini humu wanasema maji taka yanayokusanywa yanasafishwa na kuwa masafi ndipo yanatumika kutengeneza bia hiyo