Friday , 22nd Apr , 2022

Rapa Nyandu Tozzy hamchukulii poa kabisa Mbosso Khan kisa anaimba nyimbo za mapenzi, anamchukulia kama mtoto wa kiswahili ambaye anawakilisha mitaa kama ambavyo anawakilisha.

Upande wa kulia ni Mbosso na kushoto Nyandu Tozzy

"Mbosso nikimuongelea kwa ufupi maisha yake ni tofauti na mziki anaouimba, anawakilisha mitaa yake. Ni mtoto wa kiswahili kabisa wa mtaani ambaye Mungu amempa kipaji cha kuimba ule mziki ambao ameuchagua" amesema Nyandu Tozzy

Zaidi tazama hapa Nyandu Tozzy akimzungumzia Mbosso.