Sunday , 10th Apr , 2022

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Ashatu Kijaji wameahirishwa mkutano wao na waandishi wa Habari.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba

Mkutano huo uliokuwa ufanyike leo Aprili 10, 2022 na sasa utafanyika kesho Aprili 11, 2022 saa 7:00 mchana.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mapema Mawaziri hao walikuwa wanatarajia kuzungumzia uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa.