
Picha ya mchekeshaji Dullvani
Akiiambia PlanetBongo ya East Africa Radio Dullvani anasema
"Kila mtu siku hizi anaigiza kama mwanamke anavaa madera lakini mimi ndio nimefanya iwe hivyo, nimeifanya jamii iamini kuigiza kama mwanamke ni character tu sio kitu kingine. Kuigiza mwanamke kuna pesa na inalipa japo mwanzo walikuwa wanaogopa".
Show ya PlanetBongo ni kila siku ya J3 mpaka Ijumaa kuanzia saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.