
Picha ya Steve Nyerere na mama yake Steven Kanumba
Steve Nyerere amewataja wasanii hao ni Steven Kanumba, Sajuki, Mangwea, Bi Kidude, Mzee Kipara, Mzee Pwagu, Mzee Small, Mzee Majuto, Mzee Ngurumo, Mzee Bichuka, Mzee Waziri Ally, Bibi Hambiriki, Isa Matona, Sharo Milionea, Bi Leila Hatibu, na Steve 2 K.