Msanii Beka Flavour na gari aliyopata nayo ajali
Beka Flavour ameshea picha ya gari alilopata nalo ajali huku akiita ajali hiyo ni ya ajabu kwa sababu hajui ilikuaje na imetokea ghafla.
"Wakati natoka studio usiku huu nimepata kaajali cha ajabu sana, yaani hata sijui ilikuaje ghafla tu nimejikuta hapo, kikubwa nimetoka mzima kabisa Mungu mkubwa sana" ameandika Beka Flavour