
Picha ya simu ya Nokia 6310
Simu hiyo maarufu kama “Brick Phone” kutokana na muundo wake, kwa sasa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa wiki tatu, pia ina game la kisasa la nyoka pamoja na Camera na itaanza kuuzwa nchini Uingereza kwa kiasi cha Tsh. 189,000.