Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Arusha,Marison Mwakyoma akizungumza na madereva kuwasafrisha abiria
Wakizungumza katika uzinduzi wa kampeni hizo Jijini Arusha Mratibu Msaidizi kikosi cha usalama barabarani Mkoani arusha Bw,Emilian Kamhanda pamoja na kushukuru kampuni ya vodacom kwa kuunga mkono jitihada za serikali katika kupambana na tatizo hili ambalo limekuwa sugu
Nay Mkuu kampuni ya Vodacom Kanda ya Kaskazini wa Bw, Henry Tzamburukaz,amesema wataendelea kutoa ushirikiano wa kukabliana na majanga yanayoepukika likiwemo la ajali za barabarani.
katika uzinduzi huo wafanyakazi wa kampuni ya vodacom wameshirikiana na askari wa usalama barabarani na wajumbe wa baraza la taifa la usalama barabani kuhamasisha na madereva juu ya suala hilo na kuwagawia pete maalum za kuwatahadharisha kutotuma ujumbe wa simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto