
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete
Kupitia mitandaoni ya kijamii, Ridhiwani ameandika,
''Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dkt. Jakaya Kikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa''.
Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa. pic.twitter.com/gNlo1yF4uB
— Ridhiwani Jakaya Kikwete, Esq. (@ridhiwankikwete) May 27, 2021