Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu ya Whozu kufuta picha zake zote Instagram

Friday , 25th Sep , 2020

Msanii wa BongoFleva Whozu amefunguka sababu za kufuta picha zake zote katika ukurasa wake wa Instagram kutokana na kutambua mabadiliko aliyonayo kwa sasa

Msanii wa BongoFleva Whozu

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Whozu amesema aligundua hakuwa na sababu ya kuwa na picha hizo.

Ukurasa wangu ulikuwa mchafu sana ilikuwa na vitu ambavyo sio vitu vya kazi baada ya kufikiria nikaona nifute kwa sababu safari ya muziki bado inaendelea, namuomba Mungu aendelee kuniweka hai hayo ni maamuzi tu ya mtu ,yoyote anaweza vitu nilivyofuta havikuwa na muelekeo niliamua tu kufuta” amesema Whozu

Kwa upande mwingine Whozu amefunguka kuhusu muonekano na mitupio yake kwa kusema "Suala la kupendeza linatokana na kuishi katika fashion, nimezaliwa kwenye familia inayopenda mitindo, watu wanaonizunguka wamechangia kuwa katika mazingira hayo, kingine nina duka la nguo kwa hiyo ni baraka tu hizo".

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani