wasanii wa kundi la Goodlyfe Mose Radio na Weasle wa Uganda
Radio na Weasel wamempa nafasi hii Lawrence, ambapo atakuwa akishirikiana na Chagga katika kazi hiyo.
Kwa mujibu wa tetesi mpya, sababu za Labeja kutimuliwa kazi na Bobi Wine ni usimamiaji mbaya wa matumizi ya shilingi milioni 100 za Uganda ambazo zilitakiwa kuelekezwa kusaidia yatima kupitia Bobi Wine.