Picha mmoja ya mwili ulipoatikana baada ya juhudi za jeshi la la Zimamoto na Uokoaji ukiwa umezungukwa na wannachi

7 Jul . 2021

Nyota wa Suns, Chris Paul akiurusha mpira kwenye kikapu baada kuwapita walinzi wa Milwaukee Bucks kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya NBA Alfajiri ya kuamkia leo ambapo Suns walishinda kwa alama 118-105.

7 Jul . 2021

Jorginho (katikati) akishangilia huku akiwa anapongezwa na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Itali, Matteo Pessina (kushoto) na Domenico Berardi (kulia) baada ya Jorginho kufunga penalti ya mwisho na ya ushindi kupeleka Italy fainali ya UEFA EUROS 2020.

7 Jul . 2021

Picha inaonyesha namna mashindano ya Australian Grand Prix yanavyofanyika.

6 Jul . 2021

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Italia wakishangilia kwenye moja ya michezo ya Euro 2020

6 Jul . 2021

Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, ambaye ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul

6 Jul . 2021

Msanii Recho Kizunguzungu kwenye studio ya East Africa Radio

6 Jul . 2021