TFF wamesema, wao kama shirikisho wanazifanyia kazi kwa kuanza kuchunguza ukweli wa tuhuma hizo
Afisa habari wa TFF Boniface Wambura amesema kuwa na katika kuhakikisha wanadhibiti hali ya upangaji matokeo hasa katika michezo ya mwisho ya ligi hiyo wameamua kupanga michezo yote ifanyike kwa siku na mda mmoja japo hilo linaweza lisiwe tiba ya moja kwa moja.
Pia takaye bainika kupanga matokeo kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na timu yake pia kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa kanuni na sheria za soka
