
Mashujaa wa Portland kwenye fainali hiyo ni Diego Vareli na Roodney Wallace waliofunga bao kila mmoja kwenye mechi hiyo.
Bao pekee la kufutia machozi kwa Columbus Crew liliwekwa kimiani na nyota wake Kei Kamara.
Akizungumza mara baada ya kubeba taji hilo nahodha wa mabingwa hao Liam Ridgewell ambaye alikipiga na klabu ya Aston Villa ya Uingereza miaka ya nyuma amesema ni faraja kwake na klabu kwa ujumla kushinda kombe