Tuesday , 9th May , 2017

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Young Africans wanashuka dimbani leo kuvaana na Kagera Sugar katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kikosi cha Yanga SC

Hata hivyo Uongozi wa Yanga na Kagera Sugar kwa pamoja wameviweka hadharani vikosi vyake ambavyo vitashuka dimbani muda si mrefu kutoka sasa.

Kikosi cha YANGA 
1. Beno Kakolanya 
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi 
4. Kelvin Yondani 
5. Nadir Haroub
6. Thaban Kamusoko
7. Saimoni Msuva 
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe 
10. Obrey Chirwa 
11. Geofrey Mwashuiya 
Akiba
Deogratius Munishi, Juma Abdul,Vincent Bossou, Matheo Antony, Deusi Kaseke , Emmanuel Martin pamoja na Said Makapu.

Kikosi cha KAGERA SUGAR

1-Juma Kaseja

20-Godfrey Taita

21 Mwaita Gereza

4- Babu Seif

23- Mohamed Faki

15- George Kavila

2-Seleman Mangoma

6- Ally Nassoro

24- Mbaraka Yusuph

28- Christopher Edward

9- Ame Ally