Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hazard aitabiria England kwenye Kombe la Dunia

Wednesday , 13th Jun , 2018

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na klabu ya Chelsea, Eden Hazard ametabiri kuwa timu ya Taifa ya England itafika hatua ya fainali katika mashindano ya kombe la Dunia yanayofanyika nchini Urusi kuanzia kesho Juni 14, 2018.

Mchezaji huyo ametoa utabiri wake baada ya kupost katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram na kuonesha, England itatinga fainali lakini itapoteza mchezo  huo kwa kufungwa na timu ya Ubelgiji katika mchezo wa fainali Julai 15, 2018.

Hazard ametabiri kwamba England itafanikiwa kumaliza nafasi ya pili kundi G kabla ya kuitoa Colombia hatua ya 16 bora, kisha kuifunga Ujerumani robo fainali na kuindosha Argentina hatua ya nusu fainali.

Mbelgiji huyo ameandika “Huu ni utabiri wangu wa kombe la Dunia 2018, marafiki zangu wengi  kutoka Chelsea, huu ni utabiri wangu, wako ni upi?”

England na Ubelgiji zimepangwa pamoja kundi G katika mashindano ya kombe la Dunia na zitakutana Juni 28, 2018 kuhitimisha michezo ya kundi hilo ambalo linajumisha timu za Panama na Tunisia.
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani