Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wanaomuita Young Dee 'Paka' hawakosei - Maxmilian

Wednesday , 24th Aug , 2016

Maxmilian ambaye ni boss na msimamizi wa msanii wa Rap nchini Young Dee amesema hali ya rapa huyo imeimarika na anaendelea vizuri hivyo watu watarajie kazi nzuri kutoka kwake.

Rapa Young Dee akiwa na msimamizi wake Max Milian

Akipiga story ndani ya eNewz, Max amesema “Sasa namfananisha Young Dee kama 'Paka' kwa hiyo kwa wale watu wanaomuita Paka rapa huyo naona hawakosei kwa kuwa Young Dee ameimarika na kuwa mkali zaidi ya watu walivyomzoea awali”.

Hata hivyo Max alisema watu wasimuelewe vibaya anapomkatalia msanii huyo kufanya show na kwamba haimaanishi kuwa wanadharau kiasi cha pesa wanachopewa, bali walikuwa wanajipanga zaidi na kuhakikisha Young Dee anakuwa mpya.

Pia Max amepiga mkwara juu ya ujio mpya wa msanii huyo na kusema mashabiki zake wajipange kwani akiachia wimbo utakuwa zaidi ya 'Hands Up!' kwa kuwa kwa sasa Young Dee ni zaidi ya mtoto wake kwa hiyo nimemuandaa vyema.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani