Thursday , 17th Nov , 2016

East Africa Television Ltd leo imetoa semina kwa wasanii waliofanikiwa kuingia kwenye vipengele tofauti tofauti vya Tuzo za EATV, ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na wadau wengine ambao ni wadhamini wa tuzo hizo.

Wasanii wanaoshiriki EATV Awards wakiwa kwenye semina

 

Semina hiyo imetolewa kwa makusudi ya kukumbushana sheria na vigezo vya kushiriki kwenye tuzo hizo zilizoandaliwa na EATV, pamoja na masharti mengine juu ya tuzo hizo.

Mratibu wa EATV AWARDS kutoka EATV Brendasia Kileo akizungumza kwenye semina hiyo

Mzee Chilo akizungumza

Msanii G Nako akiteta jambo na mmoja wa washiriki

 

Msanii Bright akifuatilia kwa makini semina hiyo

Bhoke Egina ambaye ni mmoja wa waratibu kutoka EATV akizungumza jambo

Muigizaji Kajala Masanja (Kushoto) akiwa na msanii mwenzake Stacy

Tags: