msanii wa miondoko ya bongofleva nchini Linah Sanga akiwa na mpenzi wake
Linah ameieleza eNewz kuwa, licha ya yote yaliyotokea kati yao, kwa upande wake anamchukulia Wema kama mtu mwingine wa kawaida, akieleza kuwa hana kinyongo naye, akieleza dhahiri kuwa anaelewa kuwa staa huyo ana madhaifu yake kama ilivyo kwa binadamu mwingine yoyote yule.