Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kala kuingia kwenye siasa

Wednesday , 11th Oct , 2017

Msanii Kala Jeremiah ambaye amekuwa kifanya muziki wenye kuhamasisha sana jamii, amesema iwapo ataingia kwenye siasa ataingia kwa lengo la kuwa Rais wa nchi, na sio nafasi nyingine.

Kala ametoa kuli hiyo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na East Africa Television, na kusema kwamba nafasi ya hiyo ya urais ambayo ndiyo nyadhifa kubwa serikalini, ndiyo anayoikusudia kwenye maisha yake, kwani kama ni ubunge ameshafanya sana kazi za ubunge.

“Wengi wananishauri niingie kwenye siasa, unajua kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, kama nitaamua kuingia kwenye siasa nafasi ya urais ndo itanifaa zaidi kwa sababu ubunge nishafanya, nilipotoa wimbo na dada yangu Nakaaya wengi walikuwa wananiita mbunge, hivyo siwezi kuingia kwenye siasa kwa kutamani kuwa mbunge, nitatamani kuwa Rais”, amesema Kala.

Mara ya mwisho Kala alitoa wimbo unaoitwa 'wana ndoto' na kumpatia mafanikio makubwa kwa kupewa tuzo maalum, na hivi sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kijana'.

Utazame hapa chini 

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP