Monday , 15th Sep , 2014

Msanii wa muziki Julio Batalia, amefafanua kuwa, kufanya kazi zake karibu kabisa na wasanii wa Tip Top na Mkubwa na Wanawe akiwepo Chegge na Temba hakumaanishi kuwa anafanya kazi chini ya Menejimenti hiyo.

Chegge, Julio, Madee

Julio ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake inayokwenda kwa jina Special For You akiwa amemshirikisha Chege ameweka wazi kuwa, ana urafiki mkubwa nnje ya muziki na timu hii akiwa yeye mwenyewe anamiliki kampuni inayoshughulika na maswala kama haya ya burudani.

Unaweza kumsikiliza Julio mwenyewe hapa;