Wednesday , 9th Dec , 2015

Nyota wa muziki Harmonise, leo hii amezungumza kwa kirefu kufafanua tuhuma za kutoa kauli tata inayoashiria kuwepo uhusiano kati yake na mwigizaji Rose Ndauka ambayo imepelekea kuvurugika kwa maelewano kati yao na kushambuliana kwa njia ya mtandao.

Nyota wa muziki nchini Harmonise

Baada ya shutuma kutoka kwa Rose kuwa Harmonise alitoa kauli tata inayoashiria kuwa wanatoka kimapenzi, akikana kutokuwa na ukaribu na staa huyo, akimshutumu pia kujitafutia umaarufu kupitia jina lake, Harmonise kwa hasira na hisia hapa anaeleza.