Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dume Suruali yavunja historia ya Mwana FA

Monday , 16th Jan , 2017

Video ya wimbo Dume Suruali wa Mwana FA aliyomshirikisha Vanessa Mdee imevunja historia ya rapa huyo kwa kuwa video yake ya kwanza katika historia yake ya muziki kufikisha watazamaji wengi zaidi katika mtandao wake wa 'You tube'

Mwana FA

 

Video ya 'Dume suruali' ilitoka rasmi tarehe 25 Novemba mwaka jana na mpaka sasa imefikisha jumla ya watazamaji zaidi ya milioni mbili, jambo ambalo halijawahi kutokea kwenye kazi za nyuma za Mwana FA.

Kwa upande wake Mwana FA anasema ni namba flani ndogo kwa wasanii wengine lakini kwake yeye ni kitu kikubwa hivyo hawezi kusema ni jambo la kawaida au kusema hivi ndivyo tunafanyaga bali anawashukuru mashabiki kwani yeye mwenyewe ni kama haamini kile anachokiona.  

"Najua, kwamba siyo namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii, actually ni ka-namba flani kaduchu tu, ila kwangu its a big deal kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa 'this is how we do it' na 'it's normal' no it's not, siyo kawaida..NASHANGAA..AHSANTENI SANA..how about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine? now lets get to 3m..shukrani sana!...Nawaombea wiki njema mahangaikoni... #DumeSuruali" Mwana FA 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP