Sunday , 16th Aug , 2015

Staa wa muziki wa miondoko ya Soul, Damian ambaye amekuja kitofauti na rekodi yenye mahadhi ya Sweet Reggae kupitia ngoma inayokwenda kwa jina 'Tudumishe', ameweka wazi chimbuko la tofauti la wazo la video ya kazi hiyo kutoka visiwa vya Zanzibar amba

Damian Soul na G Nako

ambapo ndipo alipoifanyia, ikihusisha pia uhusiano mkubwa wa asili ya watu wa kule na utamaduni kutoka visiwa vya Caribbean.

Kazi hii ya video ya tofauti kutoka kwa Damian, imefanywa na muongoza video Hanscana, na kwa taarifa tu hii ikiwa ni kati ya rekodi mbili nzito za mahadhi ya Sweet Reggae kutoka katika albam ya msanii huyo inayokwenda kwa jina 'Mzuri' itakayotoka hivi karibuni.

Kuhusiana na video hii unayoitazama sasa, Damian anajieleza hapa:-