
Picha ya Mapanch Bmb kulia na kushoto ni Mansu-li

Picha ya msanii Mansu-li

Picha ya Afande Sele na Mzee wa Upako

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala baada ya kuzungumza na watumishi wa wilaya ya Ilala Mkoani Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee , Julai 11, 2022.

Raila Odinga, Mgombea Urais nchini Kenya

Kwa mujibu wa ripoti hiyo idadi ya watu duniani inaongezeka kwa kasi ndogo zaidi tangu mwaka 1950.

Mfalme Zumaridi akiwa mahakamani

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa, baada ya kumaliza kikao chao katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.