Jumanne , 12th Jul , 2022

Msanii wa HipHop Mansu-li (Sinza Star) ameiambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa ikifika muda wa kuoa ataoa na atatoa taarifa sio kupata presha za maneno ya watu kuhusu kuoa.

Picha ya msanii Mansu-li

"Siwezi kusema napata presha kwa sababu presha huja unapo compare maisha yako na maisha ya mtu mwingine, muda ukifika nitaoa tu na nitatoa taarifa haina haja ya michango wala nini" amesema Mansu-li