![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2019/06/20/BALOZI.jpg?itok=AcJ27HV_×tamp=1561042916)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akimsikiliza Mwakilishi wa Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini Bi Ann Marie Warmenhoven – Tilias alipomwita Wizarani kutoa ufafanuzi kuhusu angalizo la kiusalama lilitolewa na ubalozi huo kupitia tovuti ya Ubalozi wa Marekani hapa Nchini. June 20,2019.