
Rais Magufuli
Bw. Charles E. Kichere anajaza nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA iliyokuwa wazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, imesema kuwa uteuzi huu umeanza mara moja.
Kichere amewahi kuwa Mkuu wa Idara ya Fedha na Mhasibu Mkuu katika Wakala wa barabara Tanzania, (TANROADS)