Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rais Magufuli aomba radhi

Friday , 9th Dec , 2016

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewaomba radhi watanzania ambaowalichukizwa na maamuzi yake aliyoyafnya mwaka jana ya kufuta sherehe za uhuru na badala yake kutumia pesa kwenye upanuzi wa barabara.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Magufuli akipigiwa mizinga 21 katika sherehe za uhuru

 

Rais Magufuli ameomba msamaha leo wakati akitoa salamu zake za maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru, katika sherehe zilizofanyika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, ambapo alitumia nafasi hiyo kueleza sababu za kufuta sherehe hizo mwaka jana na kuziruhusu mwaka huu.

Rais Magufuli amesema sababu mbili mojawapo ikiwa ni kuokoa pesa ambazo zilikuwa zimepangwa kutumiwa na watanania wachache katika sherehe zile na kuamua kuzielekeza kwenye matumizi ambayo watanzania wote watafaidika.

Amesema kama kuna watu ambao aliwaudhi kwa maamuzi hayo wamsamehe lakini kama pia kama wapo waliofurahia maamuzi hayo, anawashukuru.

"Mwaka jana nilipouliza shilingi ngapi zimetengwa kwa ajili ya sherehe nikaambiwa bilioni 4, nikauliza hizi bilioni nne kuna wageni au kuna nini, wakasema ni pamoja na chakula kwa wageni, posho na mambo mengine, nikaona bilioni nne zinataka kutumiwa na watanzania wachache, nikaamua ni bora zikajenge barabara ili watanzania wote wafaidi, kama kuna watu watu hawakupenda, wanisamehe sana" Amesema Rais Magufuli.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya