Katibu Mtendaji Chemba ya Migodi, Benjamini Mchwampaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelekezo kutoka kwa Mwanafunzi anayejifunza kwa kutumia teknolojia TEHAMA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa kiwanda na miundombinu ya barabara katika Kiwanda cha Sukari na Shamba la Mbigiri

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina Omari akifunga mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 23

Mkuu wa Idara ya Mafunzo na Ujuzi, Albert Rukeisa (kushoto) akizungumza na Meneja Mwandamizi wa masuala ya Rasilimali watu kutoka GGML, Charles Masubi (kulia) katika hafla ya kuwakaribisha wahitimu 40 wa vyuo mbalimbali wasio na ajira ambao wamepatiwa fursa ndani ya GGML kupata mafunzo ya vitendo kazini kwa muda wa mwaka mmoja.