.jpg?itok=kYM7N0L4×tamp=1512826662)
Kwenye Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, chama hiko kimesema ni kitendo cha ujasiri kwa Rais Magufuli kuendelea kutekeleza ahadi ambazo zilitolewa na chama hiko wakati wa kampeni zake mwaka 2015.
Sambamba na pongezi hizo, CHADEMA pia kimeomba serikali kutumia mamlaka iliyonayo kufuta kesi za mashehe wa Zanzibar ambao kesi yao iko mahakamani, pamoja na watu mbali mbali wenye kesi za makosa ya kimtandao.
Isome hapa taarifa yote
.jpg?itok=3ZGFbbhP)