Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ajali ya basi yaua

Monday , 25th Sep , 2017

Mtu mmoja amefariki na wengine zaidi ya 60 kunusurika kifo katika ajali ya basi la kampuni ya Allys Sports kupinduka katika barabara kuu ya Shinyanga kwenda Mkoani Mwanza.

Hayo amethibitisha, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamishna Msaidizi wa Polisi, Simon Haule na kusema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi ambao ulipelekea basi hilo kupoteza mwelekeo na kusababisha ajali ya hiyo.

"Majeruhi wengi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Kola ndoto iliyopo Mwadui na wengine wamepelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa shinyanga kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dereva wa gari hilo amekimbia mara ilipotokea ajali", amesema Kamanda Haule.

 Kwa upande mwingine, Jeshi la Polisi la mkoa wa Shinyanga limesema linaendelea kumsaka dereva aliyesababisha ajali hiyo na kutoroka ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
 
HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP